Friday 19 March 2010

MATOKEO YA NAFASI ZA WANAFUNZI KIDATO CHA V 2010



Nafasi za masomo kwa wanafunzi kidato cha Tano mwaka 2010  yametangazwa rasmi naWaziri wa Elimu na Mafunzo Mhe. Prof. Jumanne Maghembe. Pichani kulia ni Mratibu Msaidizi wa Mpango wa Maendeleo ya Elimu ya Sekondari (MMES) Bw. Alpius Machage Shoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Elimu ya Sekondari Bw. Charles Philemon.Picha kwa hisani ya IssaMichuzi blogspot.

No comments:

Post a Comment