Monday 22 March 2010

NITASOMA MOBILE Mshindi atoka TUMAINI UNIVERSITY IRINGA

Mshindi katika draw ya NITASOMA iliyofanyika leo asubuhi ametoka chuo kikuu cha Tumaini Iringa.
Witness Lucas mwanafunzi wa mwaka wa pili faculty of Education ameshinda zawadi ya kila wiki ijulikanayo NITASOMA MOBILE .
Wanafunzi wana shauriwa kushiriki ili kujishindia zawadi hizo mbalimbali zitakazo wasaidia kujiendeleza kielimu. Kupaitia ujumbe NITASOMA kwenda 15767
Pitia www.nitasoma.com kwa maelezo zaidi

No comments:

Post a Comment